1 Samueli 25:3 BHN

3 Mtu huyo aliitwa Nabali na mkewe aliitwa Abigaili. Abigaili alikuwa mwanamke mwenye akili na mzuri. Lakini Nabali alikuwa mtu wa chuki na duni; tena alikuwa wa ukoo wa Kalebu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:3 katika mazingira