1 Samueli 25:31 BHN

31 wewe bwana wangu, hutakuwa na sababu ya kujuta wala kuhukumiwa na dhamiri kutokana na kumwaga damu bila sababu kwa kujilipiza kisasi. Lakini, bwana wangu, Mwenyezi-Mungu atakapokuwa amekutendea wema huo, nakuomba unikumbuke mimi mtumishi wako.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:31 katika mazingira