1 Samueli 25:41 BHN

41 Abigaili aliinuka, na kuinama mbele yao mpaka chini, akasema, “Mimi ni mtumishi tu; niko tayari kuosha miguu ya watumishi wa bwana wangu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 25

Mtazamo 1 Samueli 25:41 katika mazingira