1 Samueli 26:10 BHN

10 Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba Mwenyezi-Mungu mwenyewe atamuua Sauli; ama siku yake ya kufa itafika, au atakwenda vitani na kufia huko.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:10 katika mazingira