1 Samueli 26:12 BHN

12 Hivyo, Daudi alichukua ule mkuki na gudulia la maji karibu na kichwa cha Shauli nao wakajiendea zao. Lakini hakuna mtu aliyeona au kujua tukio hilo, wala hakuna aliyeamka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu aliwaletea usingizi mzito.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:12 katika mazingira