1 Samueli 26:17 BHN

17 Shauli alitambua sauti ya Daudi, akamwuliza, “Je, hiyo ni sauti yako mwanangu Daudi?” Daudi akamjibu, “Bwana wangu, mfalme, ni sauti yangu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:17 katika mazingira