1 Samueli 26:3 BHN

3 Shauli akapiga kambi juu ya mlima Hakila, karibu na barabara, mashariki ya Yeshimoni. Lakini Daudi alikuwa bado huko nyikani. Daudi alipojua kwamba Shauli alikuwa amekuja nyikani kumtafuta,

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:3 katika mazingira