1 Samueli 26:6 BHN

6 Daudi akamwambia Ahimeleki ambaye alikuwa, Mhiti, na Abishai ndugu yake Yoabu (mama yao aliitwa Seruya), “Nani atakwenda pamoja nami kwenye kambi ya Shauli?” Abishai akamwambia; “Mimi nitakwenda pamoja nawe.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:6 katika mazingira