1 Samueli 26:8 BHN

8 Abishai akamwambia Daudi, “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako. Basi, niache nimbane udongoni kwa pigo moja tu la mkuki; sitampiga mara mbili.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:8 katika mazingira