3 Daudi na watu wake pamoja na jamaa yake wakaishi na Akishi huko Gathi. Daudi alikuwa na wake wawili: Ahinoamu kutoka Yezreeli na Abigaili mjane wa Nabali kutoka mji wa Karmeli.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 27
Mtazamo 1 Samueli 27:3 katika mazingira