1 Samueli 27:6 BHN

6 Siku hiyo, Akishi akampa mji wa Siklagi. Hivyo, tangu siku hiyo mji wa Siklagi umekuwa mali ya wafalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 27

Mtazamo 1 Samueli 27:6 katika mazingira