1 Samueli 28:14 BHN

14 Shauli akamwambia mwanamke, “Ni mfano wa nani?” Yule mwanamke akamwambia, “Mwanamume mzee anapanda juu, naye amejizungushia joho.” Hapo, Shauli akatambua kwamba huyo ni Samueli. Shauli akainama hadi chini, na kusujudu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:14 katika mazingira