1 Samueli 28:23 BHN

23 Lakini Shauli alikataa na kusema, “Sitakula.” Lakini watumishi pamoja na yule mwanamke, walimsihi ale, naye akawasikiliza. Hivyo aliinuka kutoka chini na kukaa kwenye kitanda.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:23 katika mazingira