1 Samueli 28:3 BHN

3 Wakati huu, Samueli alikuwa amekwisha fariki, na Waisraeli wote walikuwa wamekwisha mwombolezea na kumzika katika mji wake Rama. Shauli alikuwa amewafukuza kutoka nchini watabiri na wachawi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:3 katika mazingira