1 Samueli 28:5 BHN

5 Shauli alipoona jeshi la Wafilisti alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo moyoni mwake.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:5 katika mazingira