2 Wakuu watano wa Wafilisti walipokuwa wakipita na vikosi vyao vya mamia na maelfu, Daudi naye akiwa na watu wake pamoja na Akishi walikuwa wanafuata upande wa nyuma wa jeshi hilo.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 29
Mtazamo 1 Samueli 29:2 katika mazingira