1 Samueli 29:5 BHN

5 Je, huyu si Daudi yuleyule ambaye wanawake waliimba habari zake walipokuwa wakicheza,‘Shauli ameua maelfu,lakini Daudi ameua maelfu kumi.’”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 29

Mtazamo 1 Samueli 29:5 katika mazingira