1 Samueli 3:1 BHN

1 Wakati huo, kijana Samueli alipokuwa anamtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uangalizi wa Eli, ujumbe kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ulikuwa haba sana; hata na maono kutoka kwake yalipatikana mara chache.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 3

Mtazamo 1 Samueli 3:1 katika mazingira