1 Samueli 3:10 BHN

10 Baadaye Mwenyezi-Mungu akaja na kusimama hapo, akamwita Samueli kama hapo awali, “Samueli! Samueli!” Samueli akasema, “Sema, kwani mimi mtumishi wako nasikiliza.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 3

Mtazamo 1 Samueli 3:10 katika mazingira