1 Samueli 3:15 BHN

15 Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 3

Mtazamo 1 Samueli 3:15 katika mazingira