1 Samueli 30:17 BHN

17 Daudi aliwapiga tangu asubuhi hadi siku ya pili jioni. Hakuna mwanamume yeyote aliyenusurika isipokuwa vijana 400 ambao walipanda ngamia na kukimbia.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:17 katika mazingira