28 wakazi wa Aroeri, wakazi wa Sifmothi, wakazi wa Eshtemoa,
29 wakazi wa Rakali, wakazi wa miji ya Wayerameeli, wakazi wa miji ya Wakeni,
30 wakazi wa Horma, wakazi wa Borashani, wakazi wa Athaki,
31 na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea.