1 Samueli 31:12 BHN

12 mashujaa wote waliondoka, wakasafiri usiku kucha, wakaondoa mwili wa Shauli na miili ya wanawe kutoka ukuta wa Beth-sheani; wakaja nayo mpaka Yabeshi na kuiteketeza huko.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 31

Mtazamo 1 Samueli 31:12 katika mazingira