16 Yule mtu akamwambia Eli, “Mimi nimetoka vitani sasa hivi; nimekimbia kutoka vitani leo.” Eli akamwuliza, “Mwanangu, mambo yalikuwaje huko?”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 4
Mtazamo 1 Samueli 4:16 katika mazingira