1 Samueli 4:18 BHN

18 Huyo mtu alipotaja tu sanduku la Mungu, Eli alianguka chali kutoka kwenye kiti chake kando ya lango. Eli alipoanguka hivyo, shingo yake ilivunjika kwani alikuwa mzee na mnene, naye akafariki. Eli alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka arubaini.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:18 katika mazingira