1 Samueli 6:10 BHN

10 Walifanya kama walivyoambiwa; waliwachukua ng'ombe wawili wanaokamuliwa na kuwafunga kwenye gari, na ndama wao wakawafunga zizini.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 6

Mtazamo 1 Samueli 6:10 katika mazingira