1 Samueli 7:2 BHN

2 Tangu sanduku la Mwenyezi-Mungu lipelekwe mjini Kiriath-yearimu muda mrefu ulipita, miaka ishirini hivi. Wakati huo Waisraeli wote walimlilia Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 7

Mtazamo 1 Samueli 7:2 katika mazingira