4 Hivyo, Waisraeli wakatupilia mbali sanamu za Mabaali na Maashtarothi, wakamtumikia Mwenyezi-Mungu peke yake.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 7
Mtazamo 1 Samueli 7:4 katika mazingira