1 Samueli 9:1 BHN

1 Katika kabila la Benyamini, kulikuwa na mtu mmoja tajiri aliyeitwa Kishi. Yeye alikuwa mtoto wa Abieli, mwana wa Zero, mwana wa Bekorathi, mwana wa Afia Mbenyamini.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 9

Mtazamo 1 Samueli 9:1 katika mazingira