1 Samueli 9:10 BHN

10 Shauli akamjibu, “Hilo ni jambo jema; haya, twende.” Hivyo, wakaenda kwenye mji alimokuwa anakaa yule mtu wa Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 9

Mtazamo 1 Samueli 9:10 katika mazingira