14 Siku nitakapowaadhibu Waisraelikwa sababu ya makosa yao,nitayaharibu pia madhabahu ya mji wa Betheli.Nitazikata pembe za kila madhabahuna kuziangusha chini.
Kusoma sura kamili Amosi 3
Mtazamo Amosi 3:14 katika mazingira