1 Sikilizeni neno hili,enyi wanawake ng'ombe wa Bashanimlioko huko mlimani Samaria;nyinyi mnaowaonea wanyonge,mnaowakandamiza maskini,na kuwaambia waume zenu:“Tuleteeni divai tunywe!”Sikilizeni ujumbe huu:
Kusoma sura kamili Amosi 4
Mtazamo Amosi 4:1 katika mazingira