Amosi 4:11 BHN

11 “Niliwaangusha baadhi yenu kwa maangamizikama nilivyoangamiza Sodoma na Gomora.Wale walionusurika miongoni mwenu,walikuwa kama kijiti kilichookolewa motoni.Hata hivyo hamkunirudia.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Amosi 4

Mtazamo Amosi 4:11 katika mazingira