Amosi 4:13 BHN

13 Mungu ndiye aliyeifanya milima,na kuumba upepo;ndiye amjulishaye mwanadamu mawazo yake;ndiye ageuzaye mchana kuwa usiku,na kukanyaga vilele vya dunia.Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina lake!

Kusoma sura kamili Amosi 4

Mtazamo Amosi 4:13 katika mazingira