Amosi 4:4 BHN

4 “Enyi Waisraeli,nendeni basi huko Betheli mkaniasi!Nendeni Gilgali mkalimbikize makosa yenu!Toeni sadaka zenu kila asubuhi,na zaka zenu kila siku ya tatu.

Kusoma sura kamili Amosi 4

Mtazamo Amosi 4:4 katika mazingira