Amosi 5:11 BHN

11 Nyinyi mnawakandamiza fukarana kuwatoza kodi ya ngano kupita kiasi.Mnajijengea nyumba za mawe ya kuchonga,lakini nyinyi hamtaishi humo;mnalima bustani nzuri za mizabibu,lakini hamtakunywa divai yake.

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:11 katika mazingira