Amosi 5:14 BHN

14 Tafuteni kutenda mema na si mabaya,ili nyinyi mpate kuishinaye Mwenyezi-Mungu wa majeshiawe pamoja nanyi kama mnavyosema.

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:14 katika mazingira