Amosi 5:19 BHN

19 Mambo yatakuwa kama mtu aliyekimbia simba,halafu akakumbana na dubu!Au kama mtu anayerudi nyumbani kwake,akatia mkono ukutani, akaumwa na nyoka.

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:19 katika mazingira