Amosi 5:6 BHN

6 Mtafuteni Mwenyezi-Mungu, nanyi mtaishi!La sivyo, atawalipukia wazawa wa Yosefu kama moto;moto utawateketeza wakazi wa Bethelina hakuna mtu atakayeweza kuuzima.

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:6 katika mazingira