Amosi 5:8 BHN

8 Huyo aliyezifanya Kilimia na sayari Orioni,ambaye huligeuza giza nene kuwa mchana,na mchana kuwa usiku;yeye ambaye ayaitaye pamoja maji ya baharina kuyamwaga juu ya nchi kavu,Mwenyezi-Mungu ndilo jina lake.

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:8 katika mazingira