12 Je, farasi waweza kupiga mbio miambani?Je, watu huilima bahari kwa ng'ombe?Lakini nyinyi mmeigeuza haki kuwa sumu,na tunda la uadilifu kuwa uchungu.
Kusoma sura kamili Amosi 6
Mtazamo Amosi 6:12 katika mazingira