Amosi 7:14 BHN

14 Amosi akamjibu Amazia, “Mimi si nabii wa kuajiriwa, wala si mmoja wa kikundi cha manabii. Mimi ni mchungaji na mtunza mikuyu.

Kusoma sura kamili Amosi 7

Mtazamo Amosi 7:14 katika mazingira