Amosi 7:4 BHN

4 Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Nilimwona Bwana Mwenyezi-Mungu akiuita moto wa hukumu ya kuwaadhibu watu. Moto huo uliunguza vilindi vikuu vya bahari, ukaanza kuiteketeza nchi kavu.

Kusoma sura kamili Amosi 7

Mtazamo Amosi 7:4 katika mazingira