Amosi 8:5 BHN

5 Mnajisemea mioyoni mwenu:“Sikukuu ya mwezi mwandamo itakwisha liniili tuanze tena kuuza nafaka yetu?Siku ya Sabato itakwisha liniili tupate kuuza ngano yetu?Tutatumia vipimo hafifu vya wastani na uzito,tutadanganya watu kwa mizani isizo sawa,

Kusoma sura kamili Amosi 8

Mtazamo Amosi 8:5 katika mazingira