Amosi 9:5 BHN

5 Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi,anaigusa ardhi nayo inatetemekana wakazi wake wanaomboleza;dunia nzima inapanda na kushukakama kujaa na kupwa kwa mto Nili wa Misri.

Kusoma sura kamili Amosi 9

Mtazamo Amosi 9:5 katika mazingira