Amosi 9:7 BHN

7 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Kwangu mimi, nyinyi Waisraeli,hamna tofauti yoyote na watu wa Kushi!Niliwatoa Wafilisti kutoka Krete,na Waashuru kutoka Kiri,kama nilivyowatoa nyinyi kutoka Misri.

Kusoma sura kamili Amosi 9

Mtazamo Amosi 9:7 katika mazingira