Kumbukumbu La Sheria 24:20 BHN

20 Mkipukutisha mizeituni yenu kuvuna matunda, msirudi kupukutisha tena vitawi vyake, ila waachieni wageni, yatima na wajane.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 24

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 24:20 katika mazingira