Nehemia 11:24 BHN

24 Pethahia, mwana wa Meshezabeli, wa ukoo wa Zera katika kabila la Yuda, alikuwa mwakilishi kwa mfalme kuhusu mambo yote ya watu wa Yuda.

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:24 katika mazingira