Nehemia 11:25 BHN

25 Watu wengine walikaa katika miji karibu na mashamba yao. Baadhi ya watu wa kabila la Yuda walikaa Kiriath-arba, Diboni na Yekabzeeli pamoja na vijiji vilivyoizunguka.

Kusoma sura kamili Nehemia 11

Mtazamo Nehemia 11:25 katika mazingira