Nehemia 12:23 BHN

23 Wakuu wa jamaa za ukoo wa Lawi waliorodheshwa katika kitabu cha Kumbukumbu mpaka wakati wa Yohanani mjukuu wa Eliashibu.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:23 katika mazingira